LOG BLOG


dr cool

OPP


slogan marquee

Ni blog inayo husu habari mbalimbali za kijamii kama siasa, elimu, michezo, na matukio mbalimbali duniani.

Pages

Friday, 19 April 2013

DIAMOND AFANANISHWA NA MWANAUME MSHAMBA, LIMBUKENI NA ALIYEKURUPUKIA MAPENZI UKUBWANI

KAMA USHAMBA NI SOMO BASI MFANO NI HUU HAPA!!!.

USHAMBA. Binafsi namshabikia sana huyu Msanii but I cant take it anymore!, Awali ya yote tuelewe kwamba kumdhalilisha mwanamke yeyote na kwa namna yoyote ni sawa na kumdhalilisha mama yako mzazi!,